ALICHO KIZUNGUMZA NJOZI PLANET KUHUSU MANDOJO


Msanii wa muziki wa bongo flavor hiphop anaevuma na kibao chake FOR LIFE alichomshirikisha AD GENIUS yani namzungumzia NJOZI PLANET.

Amesema kwamba yuko njiani kuachia kibao kingine kiitwacho JILANI ambacho atamshirikisha MANDOJO alipozungumza na bongoshaz leo.

"Shabiki zangu muwe tayari kupokea kazi, ni kazi moja kubwa licha ya kuwa na vizingiti vingi katika ukamilishaji kutokana na MANDOJO kuwa na safari za hapa na pale za China katika business zake kwani yeye ni muhimu sana katika kazi hii kutokana na kuwa ndio msimamizi wa kila kitu katika kazi hii maana yeye ndo aliweka lengo la kutoka kwa Audio  pindi ikamilikapo mipango ya Video" Alisema NJOZI PLANET.

Kama hauna audio ya nyimbo yake FOR LIFE Download Hapa
Share this:

0 comments: