Picha inayoonyesha zahiri kuwa Aunty Ezekiel na Mose Iyobo wanatarajia mtoto wa pili
Moja kati ya picha ambazo zimekuwa zikisambaa kwa kasi katika mtandao wa Instagram Jumamosi ya November 26 ni picha ya muigizaji Aunty Ezekiel pamoja na mpenzi wake Mose Iyobo.
Picha hiyo ambayo imepostiwa na baadhi ya watu ikiwemo Mose Iyobo mwenyewe inamuonesha Aunty Ezikiel akiwa mjamzito, kitu ambacho kimefanya baadhi ya mashabiki wao kutoa comment za pongezi.
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Mose Iyobo na Aunty Ezekiel wana mtoto wa kike anayejulikana kwa jina la Cookie hivyo kwa mujibu wa post ya Mose Iyobo inawezekana wakawa wanatarajia mtoto wa pili mwezi December.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)



0 comments: