THE WEEKND ALBAMU 'STAR BOY' KUFANYA MAKUBWA
Baada ya kutangazwa kuwa album yake imeshika namba moja katika nchi 80 duniani, The Weeknd anatarajiwa kufanya makubwa mengine kwa album yake kutegemewa kuuzwa kopi 350,000-400,000.
Kupitia Hits Daily Double wamesema kwamba Album ya The Weeknd inatarajiwa kuvunja rekodi ambayo ipo kila siku ya kuuza kopi 225,000-275,000, lakini kwa upande wa “Star Boy” inatarajiwa kuwa zaidi ya hapo na itaifanya album hiyo kushika namba moja kwenye chart za Billbord 200.
Hii inaweza kuwa ni Album yake ya pili kuvunja rekodi hiyo, baada ya mara ya kwanza ya Beauty Behind the Madness kufanya vizuri katika wiki ya mwanzo ilipoachiwa, Star Boy pia nayo inakuja kufuata nyayo hizo
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)


0 comments: