IGUNGA KUWA KAMA ULAYA




Msanii wa Bongo Fleva Shilole KikaangoniEATV amesema tayari ameanza kuwa balozi mzuri wa Igunga mkoani Tabora.

Shilole anasema “Nitapafanya Igunga kuwa kama ulaya na sasa hivi nipo kwenye harakati hizo. Mpaka sasa nimeshafungua njia kwa wasanii wenzangu wanapiga hata Show mkoani kwetu na wanajaza kitu ambacho zamani hakikuwa hivyo.
Share this:

0 comments: