Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia Maelfu ya Watu

Mgomea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibanda maiti mjini Zanzibar.
Share this:

0 comments: