Baadhi ya picha za ALLY KIBA akiwa marekani ( kushuti video ya wimbo wake mpya )
Staa wa muziki bongo Alikiba yupo jijini Los Angeles, Marekani alikoenda kushoot video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la ‘Lupela.’ Huku akishoot Video Hiyo na Video Queen Maarufu sana Nchini humo na hizi ni baadhi ya picha zao wakiwa Location
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments: