TCRA yatoa ruksa kwa video ya Ay ZIGO REMIX kuchezwa wakati wa usiku tu kwenye televisheni

Weka mbali na watoto, video ya ZigoRemix ya AY aliomshirikisha Diamond Platnumz, ruksa kuchezwa usiku kwa mujibu wa mamlaka ya mawasilianoTanzaniaTCRA.Bofya hapa kujua zaidi
Share this:

0 comments: