AUDIO | Mokomoko Movement - MOVEMENT ZANGU | Download


Ni kundi jipya kabisa toka mkoani Morogoro, lililokusanya wanamuziki wanaofanya mziki wa Hip Hop. Wanaitwa Mokomoko  Movement na huu wimbo unaitwa Movement zangu. Producer ni Vennt Skillz toka katika studio za Kwanza Records Mjini Morogoro.. Walioimba humu ndani ni pamoja na Tea Sigwer, Gonga, Rotta, Meddy Botion, Rajlam kipila, Vennt Skillz, kwenye Chorus yupo Mash Jay na Makunga. Plz tunaomba msaada wako katika kuipush hii ngoma 

Song - Movement Zangu

Crew - Mokomoko Movement

Producer - Vennt Skillz

Production - Kwanza Records

Contacts:0653 36 10 70 Vennt Skillz

Share this:

0 comments: