AyoTV: Mmiliki wa Radio kafikishwa Mahakama kuu Mwanza
Mkurugenzi wa kituo cha Redio Vision Bukoba Valerian Rugarabam amefikishwa Mahakama Kuu Mwanza kwa kosa la kutoa Hundi hewa ya kiasi cha pesa milion 79 laki tano na elfu Ishirini na sita mia mbili themanini kwa kampuni ya Manpower Construction (T) iliyoingia nae mkataba wa kujenga mnara wa Radio.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments: