Clouds Mwanza kwenye kampeni ya kumuinua tena Jetman

Kampeni ya Jetman amka iliyoanzishwa na Clouds Media kwa ajili ya kuchangisha pesa ya matibabu ya msanii Jetman kusumbuliwa na maradhi ya kupooza miguu yake ilifika Mwanza.

Kilichofanyika Mwanza ni kukabidhi pesa iliyopatikana kutoka kwa Watanzania ambapo AyoTV imezungumza na Godfrey Kusolwa ambae ni Mwakilishi wa Clouds Media kwenye hilo zoezi.
Share this:

0 comments: