Rais Magufuli amteua Mkurugenzi mkuu wa TBS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Prof. Egid Beatus Mubofu, kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).



Share this:

0 comments: