VIDEO: BENACHI – TIBA YANGU
Kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Nairobi nchini Kenya anayefahamika kwa jina la Benachi kwa mara ya kwanza kwa mwaka 2018 ameachia video yake nzuri iitwayo Tiba Yangu, Video hii imeongozwa na studio za Trued Pictures na muziki ukiwa umetayarishwa na prodyuza Saint P.
Kama hauna audio yake tafadhali bofya HAPA kuipakua.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments: